Kwa muda mrefu, nilijaribu kufanikisha maisha yangu kila jambo lilionekana kunizidi. Biashara zangu hazikua, kazi zangu hazikuleta matokeo, na kila mara nilihisi nimekumbwa na vizuizi visivyoonekana.

Nilianza kujiuliza kama kuna nguvu fulani inanikwamisha, nikishindwa kuelewa ni kwa nini jitihada zangu hazina matokeo. Hali hii ilinifanya niwe na hofu na wasiwasi kila siku.

Nilijikuta nikiishi kwa kujihisi chini, nikiwa na mashaka yasiyoisha kuhusu kila hatua ninayochukua. Kila napata fursa, huwa nahisi kama inakwamishwa kwa njia fulani. Nilijaribu mbinu za kawaida kusoma, kufanya kazi kwa bidii, na kuuliza ushauri lakini mafanikio yalionekana mbali.

Hatua ya mabadiliko ilikuja nilipokuwa nikiwa tayari kutafuta suluhisho la kina. Soma Zaidi...
Share To:

Post A Comment: