Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bunda, Boniphace Getere, bungeni jijini Dodoma Aprili 20, 2022. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo, bungeni jijini Dodoma Aprili 20, 2022. 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo, bungeni jijini Dodoma Aprili 20, 2022.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share To:

Post A Comment: