Kufanya kazi kwa uaminifu, kujituma, na kujitoa kwa kampuni kwa miaka mingi ni jambo linalopaswa kumletea mfanyakazi yeyote matunda na maendeleo.

Hata hivyo, pale unapojikuta umekwama kwenye nafasi ile ile ya chini kwa miaka nane bila kuongezewa mshahara wala kupandishwa cheo, maisha ya kazi hugeuka kuwa unyonge na mateso ya kisaikolojia.

Katika oparesheni za kila siku za ofisi yetu, mimi ndiye niliyekuwa nikibeba mizigo mikubwa ya kazi, nikikaa muda wa ziada (overtime), na kuhakikisha kila mradi unakamilika kwa wakati.

​Pamoja me juhudi zote hizo, kila msimu wa upandishwaji vyeo na ongezeko la mshahara ulipowadia, jina langu lilipuuzwa kabisa.

Nilibaki nikitazama vijana wapya waliotoka vyuo juzi wakiajiriwa na kupandishwa vyeo juu yangu ndani ya miezi michache, huku wakipewa mishahara minono na marupurupu kibao.

Kila nilipojaribu kuongea na mabosi wangu au kuomba mapendekezo ya kupanda cheo, nilipokea ahadi za uongo na visingizio visivyoeleweka.

Nilibaki nikijisikia vibaya na kupatwa na msongo mkubwa wa mawazo, nikiona kama elimu na jasho langu vilikuwa vikitumiwa vibaya bila thamani yoyote. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: