Kuanzisha biashara na kuwekeza mtaji wako wote ni hatua kubwa ya kujitafutia maendeleo, lakini pale biashara hiyo inapodorora na kukaa miezi kibao bila kupata mteja hata mmoja, maisha hugeuka kuwa mzigo mzito wa madeni.
Nilifungua duka langu la nguo na vipodozi nikitarajia kupata faida kubwa ya kuendesha maisha yangu na familia. Hata hivyo, miezi michache baada ya kufungua, mambo yalibadilika ghafla.
Mtaani kwetu kulikuwa na watu wengi, lakini kila aliyepita mbele ya duka langu alitazama tu na kupita bila kuingia ndani. Kwa miezi mitano mtawalia, nilikuwa nikiamka asubuhi na mapema, kufungua duka, na kukaa siku nzima hadi usiku bila kuuza hata kitu cha shilingi mia.
Nguo zilianza kushika vumbi na kuharibika, kodi ya fremu ikawa inanilundikia, na wamiliki wa bidhaa waliaza kunidai kwa shinikizo kubwa.
Nilibaki nikilia peke yangu ndani ya duka lililokosa wateja, nikitazama maduka ya majirani zangu yakiwa yamefurika wateja kila siku huku langu likionekana kama limepakwa mikosi au kusahaulika.
Nilianza kupata msongo mkubwa wa mawazo, nikifikiria kufunga duka na kukimbia madeni yaliyokuwa yakinikabili. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: