Kupata mpenzi sahihi wa kujenga naye maisha na kuanzisha familia ni ndoto ya kila mwanamke, lakini pale kila mahusiano yanapovunjika ghafla hasa unapokaribia hatua ya ndoa, maisha hugeuka kuwa mateso na aibu kubwa.
Kwa zaidi ya miaka saba, nilijikuta kwenye mzunguko wa ajabu na wa kikatili. Nilianzisha mahusiano na wanaume tofauti, wote wakionyesha nia ya dhati ya kunioa.
Lakini kila tulipofikia hatua ya kutambulishana ukweni, kupanga tarehe ya harusi, au kutoa mahari, mambo yaliharibika ghafla bila sababu za msingi. Mwanaume alibadilika, akawa mkali, au akatokomea kabisa na kukata mawasiliano.
Mara ya kwanza nilidhani ni bahati mbaya, lakini ilipotokea kwa mwanaume wa tatu na harusi ikavunjika wiki mbili kabla ya siku yenyewe, nilichanganyikiwa kabisa.
Nilibaki na magauni ya harusi ndani, kadi zikiwa zimeshagawiwa, na familia yangu ikiingia kwenye aibu nzito mtaani. Nilianza kujitenga na marafiki zangu waliokuwa wakiolewa mmoja baada ya mwingine, nikiumia moyoni na kuhisi nina gundu au nimelaaniwa nisipate mume.
Masimango ya majirani na ndugu yalinizidia, wengine wakisema labda nina tabia mbaya zilizojificha zinazowakimbiza wanaume, jambo ambalo halikuwa kweli. Nilianza kupoteza ujasiri wa kupenda tena, nikiamini kabisa kuwa nimezeekea nyumbani. SOMA ZAIDI.
Post A Comment: