Kila asubuhi ilikuwa vita. Mtoto wangu alianza kulia mara tu sare ya shule ilipotolewa. Alishika begi lake kwa mikono miwili na kusema hataki kurudi shule. Mwanzoni nilidhani ni uchovu wa kawaida au uvivu wa mtoto.

Lakini siku zilivyopita, machozi hayakuisha yaliongezeka. Nilijaribu kumlazimisha, nikamkemea, hata nikamwahidi zawadi. Hakubadilika.

Alianza kuumwa tumbo kila asubuhi, usingizi wake ukapotea, na tabasamu lake la kawaida likatoweka. Moyo wangu ulianza kunishtua: kuna kitu si sawa.

Siku moja nilikaa naye chini kwa upole nikamwambia aseme chochote bila kuogopa. Alilia sana ndipo akaniambia ukweli uliyonivunja kabisa. Shuleni alikuwa akidharauliwa, kuchekwa, na kutengwa kila siku.

Alikuwa anahisi hana thamani, na shule kwake ilikuwa mahali pa maumivu, si pa kujifunza. Nilikwenda shule mara kadhaa. Nilizungumza na walimu. Niliahidiwa mambo yangerekebishwa, lakini hali haikubadilika.

Mtoto wangu aliendelea kukosa amani, na mimi kama mzazi nilijihisi nimeshindwa. Nilikuwa nimejaribu kila njia ya kawaida lakini hofu ya mtoto wangu haikupungua.

Ni wakati huo rafiki yangu wa karibu alinishauri nisimame kidogo na nitafute msaada wa kina msaada wa kumjenga mtoto kisaikolojia na kurudisha ujasiri wake.Soma Zaidi.
Share To:

Post A Comment: