Home
         Unlabelled
      
WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA BANDA LA TVLA  MAONESHO YA MIFUGO KIBIASHARA CHALINZE
 
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba M. Ndaki (MB) akipata maelezo kuhusiana na huduma zinazotolewa na Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) kutoka kwa Afisa Utafiti Mifugo wa TVLA Ndg. Msafiri S. Kalloka kwenye uzinduzi wa maonesho ya Mifugo kibiashara yaliyofanyika kwenye uwanja wa maonesho Highland Estate LTD, Ubena Zomozi, Chalinze Julai 15, 2022.
Ndg. Msafiri S. Kalloka Afisa Utafiti Mifugo wa Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) akitoa maelezo kuhusiana na huduma zinazotolewa na Wakala kwa wanananchi waliotembelea banda la TVLA kwenye uzinduzi wa maonesho ya Mifugo kibiashara yaliyofanyika kwenye uwanja wa maonesho Highland Estate LTD, Ubena Zomozi, Chalinze Julai 15, 2022 
 
 
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 Back To Top
 
Post A Comment: