Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Sekta ya Madini, kwenye Kituo cha  Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es salaam,

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Sekta ya Madini wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Share To:

Post A Comment:

Back To Top