Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo pamoja na Wajumbe wa Sektetarieti ya Halmashauri Kuu CCM Taifa akiwasili Pemba kwa ziara ya siku mbili yenye lengo la kukagua, kusimamia na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 - 2025 pamoja na kuhimiza Uhai wa Chama ngazi za Mashina. (Picha na CCM Makao Makuu)Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu CCM Taifa wakitazama ngoma ya asili  mara baada kuwasili  Pemba kwa ziara ya siku mbili yenye lengo la kukagua,kusimamia na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 - 2025. (Picha na CCM Makao Makuu)
Share To:

Post A Comment: