Wanawake Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiingia uwanjani kwa maandamo mbele ya mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mhe.  Mwanahamisi Munkunda.SIKU ya Wanawake Duniani Machi 08,2021 yanayofanyika kimkoa  Wilaya ya Bahi, Dodoma.


Katika sherehe hizo wanawake walipata elimu kuhusu mambo mbalimbali, ikiwemo ujasirilimali, Elimu ya kumiliki ardhi pamoja na fursa mbalimbali zinazotokana na Kilimo.

Siku hiyo inaongozwa na Kauli Mbiu "Wanawake katika Uongozi,Chachu ya kufikia Dunia yenye  usawa.
Share To:

Post A Comment: