Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa. Joyce Ndalichako akizungumza na wajumbe (Hawapo pichani) walioshiriki katika uzinduzi wa Kituo cha Umahiri cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano uliofanyika katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha.


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa. Joyce Ndalichako akikata utepe kuashiria uzinduzi wa wa Kituo cha Umahiri cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano uliofanyika katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa. Joyce Ndalichako pamoja na wajumbe walioshiriki katika uzinduzi wa Kituo cha Umahiri cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wakifatilia mada zilizokuwa zikiwakilishwa katika uzinduzi huo katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha.


Mkuu wa Wilaya ya Arumeru akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Umahiri cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano uliofanyika katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha.
Meneja Mradi wa Kituo cha Umahiri cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka giZ Simon Hochstein akizungumza na wajumbe (Hawapo pichani) walioshiriki katika uzinduzi wa Kituo cha Umahiri cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano uliofanyika katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha.


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa. Joyce Ndalichako akimpongeza Makamu Mkuu wa Taasisi ya Nelson Mandela Prof. Emmanuel Luoga baada ya kuzindua Kituo cha Umahiri cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa. Joyce Ndalichako akijadili jambo na Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Nelson Mandela Profesa Lughano Kusiluka wakati wa Uzinduzi wa Kituo cha Umahiri cha TEHAMA.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: