Banio linaloruhusu maji kwenda katika mashamba yaliyopo katika skimu ya kilimo cha umwagiliaji ya Lemkuna Wilayani Simanjiro, ambapo imelezwa na wakulima ambao niyo watumiaji kuwa maji hayo yametoka katika mto ruvu na bwawa la maji la mto wa mungu.

Picha ni shamba la zao la mpunga katika skimu ya umwagiliaji ya Lemkuna Iliyopo wilayani Manyara mkoani simanjiro, ambapo Mpunga huo upo tayari kwa ajili ya mavuno.



WakulimakatikaskimuyaUmwagiliajiyaLemkunailiyopokatikaWilayayaSimanjiroMkoaniManyara, wameiombaserikalikuwaongeazeaeneolinalotumikakatikakilimo cha umwagiliaji kwasasa lenye ukubwa wa Hektamiatatu (300) mbalinazaidiyahektaelfukumi (10,000) zilizoendelezwakwakilimo cha Hicho.

AkiongeanawaandishiwaHabarikwaniabayawakulimakatikakatikaskimuhiyo, Mwenyekitiwachama cha wakuliwaLemkunaUwaleBw. Stanley Msuya amesema kuwa kutokana na kilimohichokuwanamafanikonafaidakubwakatikajamiiinayozungukamaeneojirani, kumekuwanamwamkomkubwawavijanawakizazikipyakatikamaeneohayokuwanahariyakujiajirikupitiasektayakilimo, lakinimaeneomengiyamekuwayakimilikiwanawatangulizi au wazaziwaojamboambalolimepelekeavijanahaokukosamaeneoyakufanyashungulizakilimo.

“kilimohiki cha umwagiliajikimekuwanafaidakubwakwetusisiwakulimahasabaadayaserikalikupitiatumeyaTaifayaUmwagiliajikutujengeamiundombinuyaumwagialia, kipato cha mkulimammojakablayamaboreshonakupatiwamafunzoyauendeshajinamatunzoyamiundombinuya umwagiliaji,mkulimaaliwezakupataguniazaMpungakwamfanokuanziakuminatano (15) mpakaishirini (20) kwahekamoja, lakinikwasasamkulimaanawezakupatahataguniathelathininatano (35) mpakahamsini (50) unawezakuonanamnaambavyokilimohiki kina faida, Hivyotunaiombaserikalikufanyaupanuziwaeneohilikwanivijanawanahitajisanakufanyashughulizakilimo.” Alisisitiza Bwana Msuya.

AkiongeleabaadhiyaChangamotowanazokabiliananazowakulimakatikaSkimuhiyo, Bw. Msuyaalisemakuwa Chama hichokimekuwahakinakifaazakuvuniazao la mpunganailikukabiliananachangamotohiyokipokwenyemchakatowakupatamkopokupitia Bank yakilimona Bank ya NMB nchiniilikuwezakununuamashinehiyonakuwezakuinuawakulimawadogowadogokwakuchangiakatikaupatikanajiwapembejeozakilimonakuongezamtaji.

Skimuyakilimo cha umwagiliajiLemkunaipokatikakandayaumwagiliajiya Dodoma, inayohusishamikoaya Dodoma, SingidanaManyara.



Share To:

Post A Comment: