Leo April,10 mwaka huu katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaloendelea mjini Dodoma; Hizi ni baadhi ya picha ya yaliyojiri katika bunge hilo.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akijibu swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu katika mkutano wa kumi na moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo mjini Dodoma

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harisson Mwakyembe akijibu swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu katika mkutano wa kumi na moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo mjini Dodoma

Waziri wa Madini Mhe. Angela Kairuki (kushoto) akijadiliana jambo na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi wakati wa kipindi cha maswali na majibu katika mkutano wa kumi na moja wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo mjini Dodoma

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (kulia) akibalishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Wawi (CUF) Mhe. Ahmed Juma Ngwali, wakati wa kipindi cha maswali na majibu katika mkutano wa kumi na moja wa bunge la Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, leo mjini Dodoma
Share To:

msumbanews

Post A Comment: