Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita, amemuapisha Mhe. Dkt. Fransis Daud Mlacha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama.
Hafla ya uapisho imefanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, ambapo baada ya kuapishwa, Dkt. Mlacha amekabidhiwa rasmi vitendea kazi na Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Mboni Mhita, kwa ajili ya kuanza kutekeleza majukumu yake katika Wilaya ya Kahama.
Dkt. Mlacha anaanza rasmi majukumu yake ya kuiongoza Wilaya ya Kahama kwa mujibu wa mamlaka aliyopewa.




.jpeg)

.jpeg)


Post A Comment: