Katika ziara hiyo amesikiliza kero za wananchi na kuzijadili kwa pamoja ili kupata muelekeo mzuri wa jinsi ya kuzitatua na kati ya kero hizo kubwa ni pamoja na mahitaji ya Umeme ,Ajira kwa Vijana, maendeleo ya Afya,Elimu , Miundombinu na mengineyo.
Mh Mbunge ametembelea kikundi cha maendeleo kinachojulikana kama JIPE MOYO ambacho ni moja kati ya vikundi vilivyofaidika na fursa za Mitaji Katika Halmashauri na Mfuko wa Jimbo ambao upo chini ya Mbunge wa Chalinze
Post A Comment: