Luteni-Kanali Chris Davies anayeshitakiwa kwa kumbaka askari mwanamke baada ya kupiga vileo na wenzake huko Canada.
ASKARI wa Uingereza aliyewahi kuwa shujaa wa vita nchini Afghanistan, hivi majuzi alimbaka askari mwenzake wa kike baada ya kujigamba kwamba alikuwa na uume mrefu.

Haya yalisema mahakamani ambapo Luteni-Kanali Chris Davies anashitakiwa kwa kumbaka askari ambaye ni mama wa watoto wawili na  umri wa miaka 53 katika tukio linalodaiwa kufanyika huko Kingston, Ontario,  Canada.
Davies anasemekana kumwambia mwanamke huyo kwamba: “Nina uume wenye urefu wa inchi nane (sentimita 20.3) ambao unaweza kuubomoa ulimwengu wako.”
Davies anadaiwa kumwambia mwanamke huyo kwamba: “Nina uume wenye urefu wa inchi nane (sentimita 20.3) ambao unaweza kuubomoa ulimwengu wako.”  Jina na utambulisho wa mwanamke huyo vimehifadhiwa.

Mwanamme huyo anadaiwa alimfuata mwanamke huyo hadi hotelini kwake baada ya mwanamkehuyo ‘kubugia’ pombe mbalimbali za kutosha walipokuwa askari hao na wenzao wakinywa vileo.

Davies na mwanamke mwathirika walikuwa sehemu ya kundi la askari waliokuwa wakinywa vileo baada ya gwaride maalum kwenye kambi ya kijeshi ya Fort Frontenac (pichani).
Kwa mujibu wa gazeti la The Sun, Davies alimwuliza mwanamke huyo: “Je, tukajaribu?”  Hii ni baada ya kujigamba kwamba kuhusu uume wake, jambo lililomfanya mwanamke huyo aondoke sehemu hiyo.

Mwanamke huyo aliripoti tukio hilo polisi mjini Kingston, Ontario, nchini Canada ambapo askari hao walikuwa wameungana na wale wa Canada kuadhimisha Mapigano ya Tuta (Ridge) la Vimy katika Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: