Kujenga ndoa na kuweka matumaini yako yote kwa mume ni hatua inayohitaji upendo na uaminifu mkubwa, lakini pale mwanaume uliyehangayika naye kuanzia chini anapokugeuka, kukutelekeza, na kumfuata mchepuko, maisha hugeuka kuwa jehanum.
Kwa zaidi ya miaka sita ya ndoa yetu, tuliaishi kwa amani na mafanikio na mume wangu. Hata hivyo, mambo yalibadilika ghafla pale alipopata uwezo wa kifedha na kuanza kuhusiana na mwanmke mwingine wa nje.
Mume wangu alibadilika tabia kabisa; akawa mkali, asiyelala nyumbani, na kuanza kuninyima matumizi ya familia.
Siku mambo yalipofika kikomo, alikusanya nguo zake zote na kuondoka nyumbani akiniacha mimi na watoto wawili wadogo bila chakula wala pango la nyumba, huku akienda kupanga nyumba na huyo mchepuko mtaani.
Kila nilipompigia simu alinitukana, kunidhalilisha, na kuniambia nimsahau kabisa kwenye maisha yake. Nilibaki nikilia usiku na mchana, huku nikitazama watoto wangu wakiteseka kwa kukosa ada na mahitaji ya msingi.
Ndugu wa mume wangu walijaribu kuingilia kati lakini mwanaume huyo alikuwa amefungwa kabisa masikio na macho, asitake kuniona wala kunisikia. SOMA ZAIDI.
Post A Comment: