Kupoteza mzazi aliyekuwa nguzo ya familia ni pigo kubwa linaloacha simanzi nzito, lakini pale ambapo ndugu na jamaa wa karibu wanapotumia msiba huo kama fursa ya kukudhulumu eneo la urithi, uchungu na maumivu huongezeka mara dufu.

Baada ya msiba wa baba yangu mzazi, niliacha majukumu yangu yote na kurejea kijijini ili kusimamia ardhi na shamba la familia ambalo baba aliniachia mimi rasmi kabla ya kifo chake.

Hata hivyo, siku chache tu baada ya kumaliza taratibu za mazishi, wajomba na kaka zangu wa tumbo moja walianza kuonyesha sura zao halisi za uroho na chuki.

​Wakishirikiana na baadhi ya wazee wa ukoo waliopokea rushwa, walitengeneza nyaraka za uongo za ardhi na kudai kuwa baba hakuwa ameniachia eneo hilo.

Walitumia vitisho vya wazi, ushawishi wa fedha, na hata kuniletea majambazi nyumbani ili kunitisha niondoke kwenye ardhi ya baba yangu. Nilikwenda kwa serikali ya mtaa na baraza la ardhi la kijiji, lakini ndugu hao walitumia fedha zao na hila za kimila kufunga mdomo kila mtu aliyetaka kunitetea.

Nilibaki nikiwa sina msaada wowote, nikilia kwa uchungu na kuona jinsi jasho na urithi halali wa watoto wangu ukichukuliwa na watu wazima wenye tamaa mbaya. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: