Nilianza ufugaji wa ng’ombe miaka saba iliyopita baada ya kustaafu kazi yangu ya udereva. Nilikuwa na ng’ombe 18 wa maziwa na biashara yangu ilikuwa inaendelea vizuri sana. Kila siku nilikuwa napata maziwa mengi na kuuza kwa hoteli na majirani.

Watu wengi walinipongeza kwa mafanikio yangu, na niliamini maisha yangu yalikuwa yamekaa sawa. Lakini ghafla mambo yalianza kubadilika. 

Ng’ombe mmoja aliugua na kufa bila sababu ya kueleweka. Baada ya wiki mbili, mwingine naye akafa. Ndani ya miezi mitatu nilikuwa nimepoteza ng’ombe sita.

Nilimuita daktari wa mifugo mara kadhaa. Aliwachunguza waliobaki na kuwapa dawa, lakini bado vifo viliendelea. 

Kilichonishangaza zaidi ni kwamba ng’ombe walikuwa wanaonekana wenye afya mchana, lakini asubuhi nilikuwa nakuta mmoja ameanguka na kufa.

Hasara ilianza kuwa kubwa. Nilishindwa kulipa ada za watoto na hata chakula cha mifugo kilianza kuwa tatizo. 

Watu kijijini walianza kunisema kuwa bahati yangu imeisha. Wengine waliniambia niuze ng’ombe waliobaki kabla wote hawajakufa.

Siku moja, mzee mmoja jirani yangu aliniuliza swali la ajabu. “Umeshawahi kukagua zizi lako usiku?” Nilimjibu hapana.

Aliniambia kuna mambo ambayo hayaonekani mchana. Alinieleza kuwa kuna watu wenye wivu wanaweza kutumia nguvu za giza kuharibu mifugo ya mtu anayefanikiwa. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: