Hakuna kitu kinachoumiza mzazi kama kuona mtoto wake akijitahidi lakini matokeo yake yaendelee kuwa mabaya. Hivyo ndivyo nilivyokuwa nikihisi kuhusu mwanangu. TAZAMA VIDEO/ SOMA ZAIDI.
Kwa miaka kadhaa alikuwa akirudi nyumbani na matokeo ambayo hayakuwa mazuri. Walimu walikuwa wakisema hakuwa makini darasani, wengine wakisema hakupenda kusoma. Kadri muda ulivyopita, watoto wengine walikuwa wakimpita huku yeye akibaki nyuma.
Kwa kweli iliniumiza sana. Kilichoniumiza zaidi ni kusikia baadhi ya watu wakimuita mzembe. Mimi nilijua alikuwa mtoto mwenye akili, lakini nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini hakufanya vizuri kama wengine.
Matokeo yalipozidi kushuka, hali ikawa ngumu zaidi. Mtoto wangu alianza kupoteza confidence. Wakati mwingine alikuwa anakataa hata kuonyesha report form yake. Nilimuona akianza kuamini maneno mabaya aliyokuwa akiyasikia kutoka kwa watu.

Post A Comment: