Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo kila siku nilifungua biashara yangu bila kujua kama ningepata faida au hasara. TAZAMA VIDEO/ SOMA ZAIDI.

Nilikuwa nimewekeza fedha nyingi kwenye biashara yangu nikiamini ingeweza kubadilisha maisha yangu na ya familia yangu.

Mwanzoni mambo yalikuwa yanaenda vizuri, lakini baada ya muda hali ilianza kubadilika. Wateja walipungua.

Mauzo yakaanza kushuka mwezi baada ya mwezi. Nilijaribu matangazo mbalimbali, offers, na hata kupunguza bei za bidhaa zangu, lakini matokeo hayakuwa mazuri kama nilivyotarajia.

Kwa kweli nilianza kuchoka. Kilichoniumiza zaidi ni kuona madeni yakiongezeka huku mapato yakipungua.

Kulikuwa na wakati nilishindwa hata kulipa baadhi ya bili kwa wakati. Watu wa karibu walianza kuniambia nifunge biashara kabla sijapata hasara kubwa zaidi.
Share To:

Post A Comment: