Kwa muda mrefu nilikaa kimya nikidhani ni mimi peke yangu niliyepitia hali hii. Kila ilipofika wakati wa tendo la ndoa, mwili wangu haukuitikia kama awali. 

Kulikuwa na ukavu uliosababisha maumivu, hofu, na wakati mwingine kuepuka kabisa ukaribu na mwenzi wangu.

Sikujua nianzie wapi kueleza kilichokuwa kinaendelea ndani yangu. Nilijilaumu, nikahisi kama nimemwangusha mwenzi wangu, na taratibu kujiamini kwangu kukapungua.
Nilidhani labda ni uchovu, mawazo, au mabadiliko ya kawaida tu.

Nilijaribu kujisaidia kwa kusoma na kusikiliza ushauri wa hapa na pale, lakini hali haikubadilika. Kadri siku zilivyopita, ndoa yetu nayo ilianza kuwa baridi. 

Nilipofikia hatua ya kuchoka kimya kimya, niliamua kutafuta msaada wa kuelewa chanzo cha tatizo, si kulifunika. Soma Zaidi.....
https://kiwangadoctor.com/kiswahili/nilianza-kukauka-wakati-wa-tendo-la-ndoa-nilipoelewa-chanzo-afya-yangu-ilibadilika/
Share To:

Post A Comment: