Nilipoanzisha biashara yangu, nilikuwa na matumaini makubwa. Nilipanga bidhaa vizuri, nikahakikisha bei zangu ni za ushindani, lakini bado siku zilipita bila mabadiliko. Wateja walikuwa wachache sana, na wakati mwingine siku nzima ilipita bila hata mauzo moja.

Nilianza kujilaumu, nikidhani labda eneo ni baya au labda mimi sina bahati kwenye biashara.
Nilijaribu matangazo madogo madogo, nikabadili mpangilio wa duka, hata nikapunguza bei, lakini wateja walikuwa wanapita tu.Kilichoniumiza zaidi ni kuona biashara jirani zikiwa na wateja wengi ilhali mimi nikiwa mtupu. 

Hapo ndipo niligundua kuwa biashara si bidhaa peke yake, kuna nguvu nyingine huifanya isonge au isimame.. Soma Zaidi.......
https://kiwangadoctor.com/kiswahili/nilikuwa-nafungua-duka-kila-asubuhi-bila-wateja-nilichofanya-kikaanza-kuvutia-mauzo/
Share To:

Post A Comment: