Siku ile sitoisahau. Alitoka nyumbani kama kawaida, akaacha simu, na hakurudi tena. Masaa yakageuka siku, siku zikawa wiki. 

Nilizunguka hospitali, vituo vya polisi, na kwa marafiki bila majibu. Kila mtu alikuwa na nadharia yake, lakini hakuna aliyekuwa na uhakika.

Hofu ilinivamia, usingizi ukaisha, na kila sauti ya simu ilifanya moyo kuniruka. Nilijaribu kila njia ya kawaida. 
Polisi walifanya walichoweza, lakini hakuna dalili ya mwelekeo alikokwenda. Soma Zaidi........
https://kiwangadoctor.com/kiswahili/nilimpoteza-mtu-wangu-bila-maelezo-hatua-niliyofanya-ilimrudisha-nyumbani/
Share To:

Post A Comment: