Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akimsikiliza mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongella, wakati alipofika katika ofisi yake kabla ya kuanza ziara yake ya siku mbili, iliyolenga kutatua changamoto mbalimbali wanazopitia wafanyabiashara na kuhamasisha matumizi sahihi ya Mashine za Kieletroniki za kutolea risiti (EFD, jijini Arusha.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akizungumza wakati alipofika katika Ofisi ya  Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongella, kabla ya kuanza ziara yake ya siku mbili, iliyolenga kutatua changamoto mbalimbali wanazopitia wafanyabiashara na kuhamasisha matumizi sahihi ya Mashine za Kieletroniki za kutolea risiti (EFD, jijini Arusha.


Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akisaini kitabu cha wageni wakati alipofika katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, kabla ya kuanza ziara yake ya siku mbili mkoani humo, iliyolenga kutatua changamoto mbalimbali wanazopitia wafanyabiashara na kuhamasisha matumizi sahihi ya Mashine za Kieletroniki za kutolea risiti (EFD), jijini Arusha.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (wa pili kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Arusha, ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. John Mongella (wa tatu kushoto), baada ya mazungumzo yao katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo, ambapo anafanya ziara ya siku mbili mkoani humo kusikiliza changamoto mbalimbali wanazopitia wafanyabiashara na kuhamasisha matumizi sahihi ya Mashine za Kieletroniki za kutolea risiti (EFD)
Share To:

Post A Comment: