Herzon Daud Mbise ameishinda kwa kishindo nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Arusha
Msimamizi Mkuu wa uchaguzi huo wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Arusha Kamana Simba ambaye ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Longido amemtangaza kuwa mshindi, baada ya kupata kura 557 kati ya kura 623 zilizopigwa.
Kamana Simba alitangaza matokeo wakati wa uchaguzi wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Simba Hall (AICC)
1. NAFASI YA MWENYEKITI WAZAZI MKOA.
1. Abdi Iddi Madava Kura 54
2. Hezron Daud Mbise Kura 557
3. John David Kajole Kura 12
2. NAFASI YA MJUMBE WA BARAZA KUU NA MKUTANO MKUU CCM TAIFA
1. Abdul Azizi Muawiya Abdulrahman Kura 11
2. Esupat Ngulupa Laizer Kura 174
3.Gerald John Sebastian Kura 30
4.Lilian Sam Ntiro Kura 401
3. NAFASI YA KATIBU ELIMU,MALEZI NA MAZINGIRA
1. Lairumbe Kimaat Laizer Kura
2. Martin Mathias Kichao Kura
3. Navoi Megro Mollel Kura
4.NAFASI YA UWAKILISHI KUTOKA WAZAZI KWENDA UVCCM
1. Azizi Abdallah Mfundo Kura 136
2. Jamilah Hassan Malle Kura 74
3. Said Abdul Saidi Kura 402
5. NAFASI YA UWAKILISHI KUTOKA WAZAZI KWENDA UWT
1. Esupat Elias Naikara Kura
2. Sebastian Titus Massay Kura 211
3. Tausi Swalehe Satu Kura ------
6. NAFASI YA WAJUMBE WATATU WA BARAZA KUU LA MKOA
1.Bakari Rahibu Msangi Kura 300
2. Eliakimu Runda Marivey Kura 250
3.Elipokea Wangael Urio Kura 150
4.Herry Nahanda Vyosena Kura 62
5.John Greyson Mshana Kura 37
6.Judith William Mollel Kura 417
7.Namnyak Saibulu Laizer Kura 290
8. Phirmine Gebra Ammo Kura 76
9. Swalehe Sadiki Kiluvia Kura 69
7. NAFASI YA MJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA
1. Abdallah Massoud Haji Kura -----
2.Joseph Amsi Sagware Kura 269
3. Josphine Nerei Shayo Kura 109
NAFAZI YA MJUMBE MMOJA TOKA KILA WILAYA
(1). WILAYA YA ARUMERU
1.Anna Agatha Msuya Kura 97
2.Boniphance Mungaya Laizer Kura 352
3. Vick Wilfred Msaki Kura 107
(2) WILAYA YA ARUSHA
1.Amani Hamisi Kananda Kura 334
2.Assia Hassan Mkaly Kura 73
3.Hilda Stephen Msamo Kura 154
(3)WILAYA YA KARATU
1.Alex Lemary Eliachim Kura 225
2.Catherine Charles Daffi Kura 335
(4) WILAYA YA LONGIDO
1.Daudi Ngada Mollel Kura 143
2. Ezekiel Joseph Mollel Kura 187
3.Upendo Malulu Ndoros Kura 231
(5) WILAYA YA MERU
1.Julius Wilfred Mungure Kura 379
2.Sifael Siyaloy Pallangyo Kura 186
(6) WILAYA YA MONDULI
1.Dr. Asanterabi Ngoyai Lowasa Kura 84
2.Sion Kapela Mollel Kura 339
3. Siria Saibulu Narda Kura 203
(7)WILAYA YA NGORONGORO
1. Ferediana Kephas Billia Kura 64
2.Paul Peter Dudui Kura 163
3. Thomas Nina Nade Kura 331
Post A Comment: