Watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango, wakipita mbele ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, wakati wa maadhimisho ya Sherehe ya Wafanyakazi ya Mei Mosi iliyofanyika jijini Dodoma.
| Watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango wakifurahia jambo wakati wa maadhimisho ya Sherehe ya Wafanyakazi ya Mei Mosi iliyofanyika jijini Dodoma. |
Post A Comment: