Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limetupilia mbali rufaa za waliokuwa wanachama wake 19 na kubariki maamuzi ya kuwafukuza uanachama yaliyofanywa na Kamati kuu ya chama hicho mwaka 2020


Maamuzi hayo yamefikiwa kwenye kikao cha Baraza Kuu katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam lenye ajenda tano na kuhudhuriwa na wajumbe zaidi ya 400 wa chama hicho, wanaotoka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara na Zanzibar.

Share To:

Post A Comment: