TUNAOMBA KURA YAKO

Mbunge Neema Lugangira amechaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanasiasa Mwanamke Bora katika Matumizi ya Mitandao/Kidijitali (Digital Politician of the Year - Female)

>Kwa unyenyekevu Mkubwa, tunaomba Kura zenu๐Ÿ™๐Ÿป

>Tunawaomba tumpigie kura Mhe. Neema Lugangira kwa kufuata maelekezo haya chini ๐Ÿ‘‡

1. Tembelea ๐Ÿ‘‡


2. Bofya 'Vote Now'

3. Bofya kitufe cha 'Cast Your Vote'

4. Ingiza namba yako ya simu au barua pepe

5. Chagua Digital Governance

6. Alafu Chagua kipengele cha Digital Politician of the Year (Female) alafu tafuta jina Neema Lugangira

6. Bonyeza alama ya kujumlisha (+) mara 5 kisha Bonyeza Vote

>TUNAWASHUKURU SANA๐Ÿ™๐Ÿป

Share To:

OSCAR ASSENGA

Post A Comment:

Back To Top