Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Amina J. Mohammed wakati Bibi Amina alipofika Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma leo Sept 11, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Amina J. Mohammed wakati Bibi Amina alipofika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Sept 11, 2021.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Amina J. Mohammed baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo Sept 11, 2021.
Share To:

Post A Comment: