Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,TAMISEMI Selemani Jafo akiongea na maafisa Utamaduni na michezo katika mkutano uliofanyika Chuo cha Mipango Dodoma.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo akisalimia na baadhi ya maafisa wa kampuni ya Coca-Cola ambao ni wafadhili wa michezo ya UMISSETA kwa mpira wa miguu na kikapu.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo akisalimiana na baadhi ya viongozi waliokuwepo katika kikao cha kazi.
 
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,TAMISEMI Selemani Jafo akiongea na maafisa Utamaduni na michezo katika mkutano uliofanyika Chuo cha Mipango Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,TAMISEMI Selemani Jafo akiwa kwenye picha ya pamoja na maafisa wa Coca-Cola na viongozi mbalimbali.
............................................................
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ameipongeza kampuni ya vinjwaji baridi Coca-Cola kwa kusaidia michezo ya UMISSETA kwa upande wa mpira wa miguu na mpira wa kikapu hapa nchini.

 Jafo alitoa pongezi hizo alipokuwa mgeni rasmi katika kikao cha kazi cha maafisa Utamaduni na michezo kutoka ngazi za mikoa yote ambapo maafisa hao walikuwa wakipanga mikakati wa kufanikisha michezo hiyo kwa mwaka huu 2018.

Nao wawakilishi wa kampuni ya Coca-Cola wameishukuru sana serikali kwa nguvu kubwa na thamani kubwa katika kufanikisha michezo hiyo hapa nchini ambapo kwa mwaka wa jana 2017 Makamu wa Rais ndiye aliyekuwa mgeni rasmi kule Mwanza. 

Nao maafisa utamani na michezo wameahidi kufanya vyema mwaka huu katika maandalizi
Share To:

msumbanews

Post A Comment: