Haji Manara ametoa ahadi hiyo leo dakika kadhaa kabla ya klabu hizo kushuka dimbani katika uwanja wa Old Trafford huku klabu yake hiyo pendwa ya Manchester United ikiwa nyumbani. 

"Ikitokea Liverpool kuifunga Manchester nahama CCM najiunga na chama cha Hashim Rungwe ..hawatufungi hata kwa bahati mbaya"alisema Haji Manara 
Haji Manara ni mwanachama mzuri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliwahi kushika nyazifa mbalimbali ndani ya chama hicho kikongwe nchini Tanzania

Share To:

msumbanews

Post A Comment: