Siku moja baada ya Mchungaji Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, kumtaka mbunge wa kawe kwa tiketi ya (CHADEMA) Halima Mdee kumuomba radhi Spika wa Bunge Job Ndugai kufuatia tuhuma zinazo mkabili za kumtukana spika huyo na asipo fanya hivyo atamchapa mikwaju hadharani.
Mbunge huyo wa kawe alichukua muda wake na kumjibu Gwajiba kupitia akauti yake ya twitter kwa kumwambia yakwamba atamuheshimu sana na hatajibizana nae kupitia mitandao ya kijamii.
Nakuhusu suala la jumapili alisema anamuachia mwenyewe Gwajima kwani yake yeye ni yale yaliyo jiri bungeni na anajua jinsi ya kuyahandle.
Post A Comment: