Msiba wa wazazi ni pigo kubwa linalomuachia kila mtoto simanzi na ukiwa, lakini inapojitokeza hali ambapo ndugu wa damu wanatumia fursa hiyo kukudhulumu na kukupora urithi wako, maumivu yake huwa mazito mno kuvumilika.
Baada ya kuondokewa na wazazi wangu waliotutoka kwa pamoja, nilibaki mimi kama mtoto wa pekee nikiwa na matumaini ya kuendeleza mali zao ikiwemo nyumba ya familia na shamba kubwa la kilimo.
Hata hivyo, kabla hata ya siku arobaini kumalizika, mijomba na mashangazi zangu waligeuka ghafla. Walikaa kikao cha familia bila kunishirikisha, wakatengeneza nyaraka za uongo, na hatimaye walinifukuza kwenye nyumba na kupora shamba lote.
Nilibaki mtaani nikiwa sina mbele wala nyuma, nikilia kwa uchungu na unyonge. Nilitafuta msaada kwa viongozi wa mtaa na hata kujaribu kwenda polisi, lakini ndugu hao walitumia fedha na ushawishi wao kuziba pengo kila mahali.
Nilipojaribu kuwasogelea na kuwaomba wanihurumie, walinitishia kunifanyia vitendo vya kishirikina au hata kuniondoa duniani kama nitaendelea kufuatilia mali hizo.
Nilibaki nikiishi maisha ya uombaomba, nikiwa nimekonda kwa mawazo, huku nikitazama mali za wazazi wangu zikitumiwa na watu waliokosa huruma wala woga wa Mungu. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: