Amani ya akili na usingizi mwanana usiku ni haki ya kila binadamu, lakini pale usiku unapogeuka kuwa uwanja wa mateso na ndoto za kutisha, maisha yote hugeuka kuwa jinamizi. Kwa zaidi ya miaka miwili, nilikuwa nikiteseka sana kila nilipoweka kichwa changu kitandani.

Nilikuwa nikoota ndoto za kufukuzwa na wanyama wakali, kuogelea kwenye maji machafu, kula chakula usiku, au kukabiliwa na watu waliokufa zamani waliokuwa wakinitisha na kuninyonga.

​Kila nilipoamka asubuhi, nilijikuta nikiwa na uchovu mwingi mwilini, maumivu ya viungo, na hofu kuu iliyoniletea msongo wa mawazo. Hali hii haikuishia kwenye usingizi tu; ndoto hizo zilianza kuniletea nuksi na mikosi kwenye maisha yangu ya kila siku.

Biashara zangu zilianza kufilisika, mahusiano yangu yakavunjika, na afya yangu ikaanza kudorora bila madaktari hospitali kuona ugonjwa wowote. Nilibaki nikihofu kufika usiku, nikiteseka kwa kukosa usingizi na kuona maisha yangu yakiangamia polepole. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: