Kushirikiana vyema na majirani zako wa karibu ni msingi mkuu wa amani na usalama nyumbani, lakini pale unapozungukwa na majirani wenye chuki, maneno ya shombo, na fitna zisizo na msingi, nyumba yako hugeuka kuwa uwanja wa mateso.

Kwa zaidi ya miaka miwili, nilipitia maisha ya ubaguzi na kelele zisizokwisha kutoka kwa majirani zangu wa mtaani. Kila nilipofanya maendeleo madogo iwe ni kukarabati nyumba, kununua chombo kipya, au hata watoto wangu kufanya vizuri shuleni vilizua chuki na maneno ya ushirikina dhidi yangu na familia yangu.

​Ugomvi ulitengenezwa bila sababu yoyote; walitupa taka mlangoni kwangu, wakatusingizia kashfa mbaya mtaani, na kunifanyia matusi ya wazi kila nilipopita mbele zao.

Nilitumia njia zote za kiustaarabu kwa kwenda kulalamika kwa wajumbe wa mtaa, wazee wa eneo hilo, na hata polisi, lakini kila walipoonywa, chuki yao iliongezeka na kuanza kutishia usalama wa watoto wangu.

Nilibaki nikinaikwa na msongo mkubwa wa mawazo, nikipoteza kabisa amani ya kukaa kwenye nyumba yangu mwenyewe na kufikiria kuiweka sokoni ili nikimbie mateso hayo ya maneno. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: