Kujaribu na kujituma maishani ni hatua ya kila mtu anayepambania maendeleo, lakini pale kila unachogusa kinapoharibika na kukutana na ukuta, maisha huanza kuwa mzigo mzito.

Kwa miaka kadhaa, nilikabiliwa na mfululizo wa nuksi na mikosi ya ajabu. Kila mradi au wazo jipya nililojaribu kuanzisha iwe ni biashara ndogo, kilimo, au mchakato wa kusafiri lilikuwa likisambaratika dakika za mwisho kabisa bila sababu yoyote ya msingi.

​Nilibaki nikitazama maisha yangu yakirudi nyuma kila siku, huku watu wenzangu niliotafuta nao wakipiga hatua na kufanikiwa.

Pesa zilizoingia mkononi mwangu zilitoweka bila kufanya la maana, marafiki na watu wa karibu walianza kujitenga nami, na kila mlango wa fursa niliogonga ulijifunga kwa kishindo.

Nilianza kujiona kama mtu aliyelaaniwa, nikipoteza kabisa matumaini ya maisha na kuishi kwa huzuni na msongo mkubwa wa mawazo. SOMA ZAIDI.
Share To:
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Post A Comment: