Kutafuta pesa na kupambania maendeleo ni lengo la kila mtu, lakini pale unapotumbukia kwenye mtego wa michezo ya kubeti na kamari, maisha yote huanza kuporomoka kwa kasi ya ajabu.

Kwa miaka kadhaa, nilikabiliwa na uraibu mzito wa kamari uliyoanza kama mchezo mdogo wa kujiburudisha. 

Kila nilipoweka pesa na kushinda kiasi kidogo, tamani ya kupata pesa nyingi haraka ilitawala akili yangu, ikanifanya nianze kuweka kiasi kikubwa zaidi cha fedha kila siku.

​Taradibu, mchezo huo uligeuka kuwa janga lililomaliza akiba zangu zote za benki. Nilipoishiwa pesa, nilianza kuuza samani za nyumbani, kuchukua mikopo ya riba kubwa.

Na hatimaye niliuza kiwanja na nyumba yangu niliyojenga kwa jasho ili tu nipate pesa za kuendelea kubeti kwa matumaini ya kurejesha nilichopoteza.

Kila siku nilitoka nyumbani nikiwa na nia ya kuacha, lakini akili yangu ilikuwa ikivutwa kwa nguvu ya ajabu kurudi kwenye kumbi za kamari.

Nilibaki mfilisi, nikiwa na madeni kila kona, huku familia yangu ikiteseka kwa njaa na aibu kubwa mtaani. SOMA ZAIDI.
Share To:
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Post A Comment: