Kwenye maisha, kuna vitu unaweza kuvichukulia kama urembo wa kawaida tu, lakini kumbe vina siri nzito nyuma yake. Siku moja nikiwa safarini kibiashara, nilikutana na mzee mmoja aliyekuwa anauza vyombo na urembo wa asili.

Kati ya vitu vyote, jicho langu lilivutiwa na pete moja ya chuma cha ajabu iliyokuwa na mchoro wa kipekee. Mzee yule alinitazama kwa tabasamu fumbo kisha akasema, “Chukua hii kijana, itakusaidia.” Niliinunua kwa fedha kidogo sana nikiamini ni urembo wa vidole tu.

​Nilipoivaa tu mkononi, sikuichukulia maanani. Lakini haikupita hata siku mbili, mambo ya ajabu yalianza kutokea katika maisha yangu ya kila siku mambo ambayo sikuwahi kuyatarajia kabisa. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: