Kununua gari langu la kwanza ilikuwa ndoto kubwa niliyofanikisha baada ya miaka mingi ya kufanya kazi kwa bidii na kujiwekea akiba. Likuwa chombo changu cha usafiri na pia tegemeo langu katika shughuli zangu za kila siku.
Siku moja, marafiki zangu wawili wa karibu niliowaamini sana walikuja kunipiga mzinga wa kuazima gari hilo kwa masaa machache tu, wakidai wana dharura kubwa ya kifamilia mji wa jirani.
Kwa roho safi na urafiki wetu wa miaka mingi, niliwakabidhi funguo bila wasiwasi wowote. Hata hivyo, masaa machache yaligeuka kuwa siku. Walipokosa kurudi jioni ile, nilianza kuwapigia simu lakini zote zilikuwa zimezimwa.
Siku ya pili na ya tatu zilipopita bila kuona gari wala kupata habari zao, ndipo mshtuko na ukweli mchungu uliponipiga marafiki zangu walikuwa wamenigeuka na kutoweka na gari langu!
Nilienda kutoa taarifa kituo cha polisi, lakini siku zilivyozidi kusonga, ufuatiliaji wao haukuzaa matunda yoyote na matumaini yangu ya kumpata chombo changu yalianza kuyeyuka. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: