Kufungua biashara yangu mwenyewe ilikuwa ndoto ya maisha yangu yote. Baada ya kukusanya akiba kwa miaka mingi na hata kuchukua mkopo wa benki, nilifanikiwa kupanga fremu nzuri na kuweka bidhaa za kisasa.
Nikiwa na matumaini makubwa, nilifungua milango nikitarajia kupata wateja na kuanza kurudisha mtaji. Hata hivyo, kilichofuata kilikuwa mshtuko mkubwa.
Miezi sita mtawalia ilipita bila kupata mteja hata mmoja wa maana; watu walipita mbele ya duka langu wakitazama ndani na kuondoka bila kuingia.
Kodi ya pango ilianza kunikabili, marejesho ya mkopo wa benki yalibisha hodi, na bidhaa zilianza kukaa hadi kupoteza ubora. Kila siku niliketi dukani kuanzia asubuhi hadi jioni nikitazama kuta tupu.
Wasiwasi, aibu, na msongo wa mawazo vilinishika kiasi cha kuanza kuwaza kufunga biashara hiyo na kukimbia mji ili kukwepa madeni. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: