Kwenye mahusiano, uaminifu ndio nguzo kuu inayoshikilia pendo. Kwa zaidi ya miaka miwili, nilikuwa kwenye uhusiano na mtu niliyemwamini kwa moyo wangu wote.
Nilijitolea kwa kila hali kifedha, kihisia, na kwa muda wangu nikiamini kuwa tulikuwa tukijenga mustakabali wa pamoja. Hata hivyo, tabia zake zilianza kubadilika taratibu.
Kila mara alikuwa na visingizio vya kutopatikana, simu yake ilikuwa na maneno ya siri (passwords) za kila aina, na kila nilipomhoji kuhusu mabadiliko hayo, alinipachika majina ya kuwa mtafutaji wa ugomvi na mwenye wivu usio na msingi.
Nilibaki nikijilaumu mwenyewe na kujikosoa, nikiamini labda mimi ndiye niliyekuwa na makosa. Lakini moyoni mwangu, kulikuwa na sauti iliyokuwa ikiniambia kuwa kuna kitu kikubwa kilikuwa kikifichwa nyuma ya tabasamu na maneno yake matamu ya kila siku. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: