Baada ya kuhitimu masomo yangu, nilikuwa na matumaini makubwa ya kupata kazi nzuri na kuanza kujitegemea. 

Nilituma maombi kwa kampuni nyingi, mashirika mbalimbali, na hata biashara ndogo ndogo zilizokuwa zinatafuta wafanyakazi. Kila nilipoitwa kwenye usaili, nilijiambia kwamba safari hii ndiyo nafasi yangu ya mwisho ya kubadilisha maisha.

Lakini majibu yalikuwa yale yale. Mara kwa mara nilipokea ujumbe wa kukataliwa. Wakati mwingine nilifika hatua za mwisho za usaili na kuambiwa nisubiri majibu, lakini siku zote nafasi hiyo ilipewa mtu mwingine. Miaka mitatu ilipita katika hali hiyo.

Akiba yangu ilianza kuisha na nilianza kutegemea msaada wa familia katika baadhi ya mahitaji yangu. Kilichoniumiza zaidi ni kuona watu niliomaliza nao shule wakipiga hatua kubwa maishani huku mimi nikibaki sehemu ileile. Nilianza kukata tamaa. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: