Mwanamke huyu alishiriki hadithi yake kwa huzuni kubwa. Alidai kuwa amefunga ndoa mara tatu, lakini kila ndoa ilidumu siku 30 tu. Kila mara alikuwa na matumaini mapya, lakini kila mwisho ulikuwa wa ghafla na maumivu.

Familia na marafiki walishangaa.

Wengine walidhani alikuwa na bahati mbaya. Wengine walidhani ni yeye aliye na tabia zisizoeleweka. Lakini alijua kuwa kuna kitu kilichomzuia kupata amani ya ndoa.

Kila alipojaribu kuelezea hofu yake, wengine walimkemea. Soma Zaidi.
Share To:

Post A Comment: