Sikuwahi kufikiria kuna siku nitaogopa kioo. Nilikuwa mtu wa kawaida, mwenye afya, mwenye ndoto na mipango. Lakini polepole, mambo yalianza kubadilika bila maelezo.

Nilikuwa nachoka bila kufanya kazi ngumu, usingizi haukuwa usingizi, na kila asubuhi niliamka nikiwa mzito kama mtu aliyebeba mzigo usioonekana. Watu walidhani labda ni msongo wa mawazo au uchovu wa maisha.

Nilijiambia pia hivyo. Lakini ndani yangu nilihisi kuna kitu kinanivuta chini. Kila siku nguvu zangu zilipungua. Kumbukumbu zilianza kunipotea. 

Nilianza kujitenga. Nilikuwa nahisi kama nipo lakini sipo. Siku moja usiku, nikiwa nimechoka kupita kiasi, nilienda bafuni kuosha uso.

Nilipoangalia kwenye kioo, niliishiwa pumzi. Suruali ilikuwa yangu, uso ulikuwa wangu lakini macho hayakuwa yangu. 

Kulikuwa na ukavu, uzito, na kitu cha kutisha ambacho sikuwahi kujiona nacho. Nilipiga hatua nyuma kwa hofu. Ndani ya moyo wangu nilijua, hiki si uchovu wa kawaida.

Kuanzia hapo, hali ilizidi kuwa mbaya. Nilianza kusikia mawazo yasiyo yangu. Nguvu za kufanya maamuzi zilinitoka. 

Kila nilipojaribu kusali au kujifariji, nilihisi kuzidi kudhoofika. Ilikuwa kama kuna kitu kinanyonya uhai wangu taratibu, bila kelele. Soma Zaidi.........https://kiwangadoctor.com/kiswahili/nilipoteza-nguvu-zangu-polepole-mpaka-kioo-kilipoonyesha-kitu-ambacho-sikuwa-mimi/
Share To:

Post A Comment: