Haikuwa rahisi kwa mwanaume huyu kusimulia kilichompata, kwani kilikuwa cha aibu na cha kutisha. Alikuwa mtu mwenye afya nzuri, akifanya kazi zake kawaida bila shida yoyote.
Lakini baada ya kujiingiza kwenye uhusiano wa siri na mke wa mtu mwingine katika mtaa wao, maisha yake yalibadilika ghafla kwa namna ambayo hakuwahi kufikiria.
Siku ya pili baada ya tukio hilo, alianza kuhisi tumbo lake limekaza isivyo kawaida. Alidhani ni tatizo la chakula tu. Lakini siku zilivyopita, hali ilizidi kuwa mbaya.
Alishindwa kabisa kujisaidia haja kubwa kwa siku moja, mbili, tatu… hadi ikafika wiki nzima. Tumboni kulivimba, maumivu yaliongezeka, na jasho jingi lilianza kumtoka usiku.
Aliamua kwenda hospitali, akapewa dawa za kawaida za kuharisha na kusafisha tumbo, lakini hakuna kilichofanya kazi. Madaktari walishangaa kwa sababu vipimo vyote vilionyesha hakuna tatizo la kawaida la kiafya.
Maumivu yaliendelea, akashindwa hata kula vizuri, na usingizi ukawa shida.
Hapo ndipo alipoanza kuogopa. Alianza kukumbuka maneno ya watu wazima waliokuwa wakisema kuna mambo mengine hayatibiki kwa dawa za hospitali pekee.
Kwa hofu na kukata tamaa, alimweleza rafiki yake wa karibu siri yote. Rafiki huyo alimshauri atafute msaada wa kipekee kabla hali haijawa mbaya zaidi.Soma Zaidi.

Post A Comment: