Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango (NPC), Dkt. Fred Msemwa (Kushoto) akiwa katika mazungumzo na Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango ya Zanzibar, Dkt. Afua Khalfan Mohamed (Katikati) alipotembelea ofisi hizo Zanzibar leo ( 6.1.2025). Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasimali Watu, Bi.Maryam Ukki.

Share To:

Alex Sonna

Post A Comment: