Ilikuwa ni siku ya Ijumaa asubuhi nilipogundua kuwa akaunti yangu ya benki ilikuwa tupu. Nilipoingia kwenye app ya benki yangu, macho yangu yalijaa machozi mara moja. Kiasi nilichokuwa nimehifadhi kwa zaidi ya miaka mitano kilienda bila hata taarifa.
Nilishindwa hata kupumua vizuri. Nilipiga simu kwa huduma kwa wateja wa benki, lakini majibu yao hayakunipa matumaini. Walisema ilikuwa shambulio la mtandaoni na wangechunguza. Nilipoweka simu chini, nilijikuta nimekaa sakafuni nikilia. Hizo ndizo pesa nilizokuwa nikipanga kutumia kujenga nyumba ya familia yangu.
Familia na marafiki wangu walishangaa kusikia habari hizo. Wengine walinionea huruma lakini baadhi walinicheka na kusema nilikuwa mjinga kuweka akiba kubwa kwenye benki badala ya kuwekeza. Nilihisi nimeachwa peke yangu.
Kila siku nilikuwa na hofu, usingizi ulinikimbia, na nilianza kupoteza hata hamu ya kula. Kesi ya benki haikusonga, kila mara waliniambia uchunguzi unaendelea. Wiki mbili zikapita na bado hakuna suluhisho. Nilihisi kama dunia inanigeukia.
Siku moja, jirani yangu ambaye ni rafiki wa karibu aliniona nimechoka na akaamua kunipeleka mahali. Akaniahidi kuwa nitapata msaada. Kwa wakati huo sikuwa na cha kupoteza, kwa hivyo nilikubali. Soma zaidi hapa
Post A Comment: