Jina langu ni Wanjiku kutoka katika kauti ya Kisumu, nilikuwa mwanamitindo ambaye nilienda katika mashindano katika ukanda huu wa Afrika Mashariki kila mara. Sikutaka kuwa na kitu chochote ambacho kitanisumbua kwani hali ile ingefanya nisiweze kuwa maarufu.

Nilikuwa nimeeda nchini Uganda na hapo nilishinda mataji, muda ulivyosonga, makovu yalianza kutokea kwenye uso wangu suala amabalo liliharibu urembo wangu kwa sana, wakati mwingi nilibaki kwenye chumba changu bila kutoa nje.


Sikutaka yeyote kuniona, hali ile pia ilipelekea kushindwa kushiriki baadhi ya mashindano, kwa muda mrefu nilipoteza mengi kwani kwenye mashindano yale nilikuwa napata fedha nyingi tu.

Suala lile lilikuwa linaniudhi sana, jambo lililonishangaza ni kwamba nilikuwa nimejaribu kutumia kila mafuta kuondoa hali ile lakini hakuna lolote lillokuwa likifanya kazi. Soma zaidi hapa. 

Share To:

contentproducer

Post A Comment: