Nilikuwa nimezoea maisha ya kawaida ya umaskini. Siku zote nilipambana kuendesha maisha yangu, nikitafuta vibarua vya hapa na pale mjini Mbeya ili nipate pesa ya chakula na kodi.

Nilikuwa na marafiki wengi wa karibu hasa wanawake tuliokuwa tukisaidiana kila mara mambo yalipoenda kombo. Tulikuwa kama dada; nilifikiri urafiki wetu ungekuwa wa milele.

Lakini maisha yangu yalibadilika ghafla baada ya kupata mwelekeo mpya wa kibiashara. Katika kipindi cha chini ya miezi mitatu, nilikuwa nimefungua duka la vifaa vya ujenzi, nikamiliki gari aina ya Toyota Vanguard, na nikaanza kuishi kwenye nyumba ya vyumba vitatu, nikiwa na samani za kisasa. Badala ya kushangilia mafanikio yangu, marafiki wangu wote walianza kunitenga.

Walikuwa wakinisengenya mitandaoni na kusema nimejiingiza kwenye biashara haramu au nimeolewa na mzee wa pesa. Wengine walidai ninafanya mambo ya kichawi.

Iliniuma sana kwa sababu sikutarajia watu niliowategemea kuwa nguzo yangu wawe wa kwanza kunipiga kwa maneno na chuki. Soma zaidi hapa 

Share To:

contentproducer

Post A Comment: